Kulia ni Mwakilishi wa Royal Palm Seraphin Lusala. Kazi ameomba wadau wenye moyo mwema na walio na haja ya kuchangia watoto hao wajitolee kwa vitu mbalimbali vinavyoweza kufanikisha siku hiyo ikiwa ni pamoja na uandaaji ambako vinahitajika ... Hotel Movenpick Royal Palm imejitolea uku,nbi wa mikutano na vinywaji kwa jili ya maandalizi. Kwa mawasiliano piga simu namba 0713 477300 ama 0715 732333. PAMOJA TUNAWEZA, INSHAALLAH!!! Press release: mwanaisha magambo, new Life ...